Price: 150,000.00 Tsh
Location: Mbeya
Meza imara sana sio ya mchina kwamba maji yakimwagika Meza itavimba hii sio dizain hiyo hii n mbao tupu maji hayana mazara humu